WAZIRI MKENDA AWATAKA WADAU WA NDIZI KUCHANGAMKIA FURSA.

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Kilimanjaro WAZIRI wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda, amewataka wadau wa zao la ndizi nchini ikiwemo wawekezaji kuchangamkia frusa ya kuzalisha kwa wingi zao hilo ambalo kwa sasa limewekewa mkakati wa kuwa zao kubwa la kibiashara. Profesa Mkenda ameyasema hayo Leo tarehe 25 Septemba 2021 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wakati